Nini Maana ya Afya ya Akili #AfyaYaAkili
Afya ya akili ni nini? Ni hali ya kuwa sawa kiakili na kisaikolojia au kutokuwepo kabisa kwa usumbufu wa akili ya mtu, mfano msongo wa mawazo. Ni hali ya kuwa na mawazo chanya, kuwa sawa kijamii na kisaikolojia na kuweza kuchangia katika utendaji wako wa kila siku na uwezo wa kuridhisha wa kimawazo na kitabia. […]
Recent Comments