TUNAWEZAJE KUTUNZA AFYA YA AKILI ZETU KATIKA MAISHA YETU YA KILA SIKU?
Kwa kutojihusisha na matukio yoyote yenye ushawishi ambayo kwa namna moja au nyingine yanaweza kusababisha kuzorota au udhaifu kwa afya zetu za akili au kupunguza uwezo wa ufanyaji kazi wake Mambo hayo ya kusaidia kutunza afya zetu za akili ni kama vile kuwa na mitazamo chanya (mzuri) juu yako mwenyewe na maisha yako binafsi, maendeleo […]
Recent Comments