Hilal Magege
Mratibu Taifa wa Klabu za Afya ya Akili Tanzania
Katika kutekeleza malengo ya taasisi, Mental Health Tanzania (MHT), inakitengo cha Jukwaa la Afya ya Akili Tanzania (Mental Health Forum Tanzania) na kupitia kitengo hicho, taasisi imeanzisha pogram ya Klabu za Afya ya Akili Tanzania (Mental Health Clubs Tanzania)
+255627745381 au +255655080290