Mental Health Tanzania Forum

Nyuzi
1
Jumbe
1

Majukwaa

Afya ya Akili

Jukwaa hili litahusu posts zinazolenga kuelimisha au kuongelea juu ya afya ya akili na si magonjwa ya akili.
Nyuzi
2
Jumbe
2
Nyuzi
2
Jumbe
2

Magonjwa ya Akili na Changamoto za Kisaikolojia

Jukwaa hili linawapa nafasi wataalam wa afya ya akili kuelezea juu ya afya ya akili na magonjwa au changamoto za afya ya akili kwa upana wake, kupitia lugha nyepesi ambayo itafahamika kwa watumiaji wa jukwaa letu.Magonjwa kama msongo wa mawazo,hofu iliyopitiliza na aina yake yatajadiliwa.Pia litakuwa na nafasi ya kuuliza maswali na aliyetoa somo atalazimika kuwajibu wasomaji.
Nyuzi
10
Jumbe
10
Nyuzi
10
Jumbe
10

Vijana na Afya ya Akili

Jukwaa hili litahusu maswala yote ya vijana na afya zao za akili
Nyuzi
1
Jumbe
1
Nyuzi
1
Jumbe
1

Jifunze Afya ya akili na Said Kasege

Kasege ni mwandishi wa vitabu vya saikolojia na nakala mbalimbali hasa kwenye msongo wa mawazo,kukata tamaa,kustahimili nyakati ngumu,kujiamini,self-esteem,optimism, n.k
Nyuzi
337
Jumbe
341
Nyuzi
337
Jumbe
341

Nukuu na Nasaha za Kisaikolojia

Washiriki wa jukwaa hili wana nafasi ya kuandika matukio yaliyopita ya kisaikolojia,Nukuu za watu maarufu au binafsi zinazolenga kupoza nyoyo ,kuelimisha na kuburudisha pamoja na nasaha fupi fupi za kusaidiana kimaisha.
Nyuzi
3
Jumbe
3
Nyuzi
3
Jumbe
3

Ndoa na Mahusiano

Mahusiano yote yatajadiliwa humu,Kwa kutoa nafasi kushirikishana changamoto tunazopitia ambazo huenda zikamsababishia mtu kuathiriwa na changamoto za afya ya akili.Ni jukwaa litakalolenga kuwasaidia watu walio na wanaotamani kuingia kwenye mahusiano ikiwemo ya kindoa ,urafiki ,udugu na mfano wake.
Nyuzi
2
Jumbe
3
Nyuzi
2
Jumbe
3

Habari na Matukio

Hapa tunajadili habari za matukio mbalimbali yenye mnasaba na afya ya akili ambayo yamejitokeza au yanatokea katika maendeo tofauti wanayoishi.Matukio kama vifo vya kujitoa uhai,unyanyasaji wa kijinsia, hofu iliyopitiliza na mifano kama hiyo.
Nyuzi
2
Jumbe
2
Nyuzi
2
Jumbe
2

Wanachama Mkondoni

No members online now.

Latest resources

Machapisho mpya ya ukurasa

Who is your Mentor?
Health Matters, Tukiongelea Afya, Mjumuisho wa hali ya ustawi wa mwili.Kiakili na kijamii pasipo na ugonjwa. (Physical, Spiritual, Mental, social well-being in the absence of disease
SWALI
Kuna uhusiano gani Kati ya hisia na msongo wa mawazo??

Je, kuna uwezekano wa mtu kuwa katika hali ya utimamu (akili timamu) huku akiwa na msongo wa mawazo??
Afya, ni Mjumuisho wa hali ya ustawi wa mwili.Kiakili na kijamii pasipo na ugonjwa. Afya ni Akili
Healthy mind leads to better life

Forum statistics

Nyuzi
358
Jumbe
363
Wanachama
48
Mwanachama mpya
Julius cosmo
Top